hali ya kuongezeka kwa joto inaweza isidhibitike-wanasayansi wamesema

Habari hii inaweza ikakutisha lakini ndivyo hali inavyoelekea kuwa.Kwani jumatatu ya wiki hii wanasayansi walitoa onyo kwa wanadamu kuwa jitihada za kudhiibiti kuongezeka kwa joto zinataka kushindikana kwani kila siku zinavyo zidi kwenda ndivyo joto linavyozidi kuongezeka pia

"Huu ni muongo mgumu sana Kama hatuwezi kupata vizingo basi itakuwa mwisho muongo huu kwetu sisi .," Alisema Will Steffen, mkurugenzi mtendaji wa mamlaka ya hali ya hewa ya Australia akizungumza katika mkutano wa London.

Comments