DENTI AMDUNDA TICHA,DARASANI,KISA SIMU

MWALIMU   MMOJA KUTOKA KATIKA SHULE YA Elmont High School,MAREKANI AMECHEZEA KCHAPO CHA MAANA BAADA YA KUMUAMURU MWANAFUNZI WAKE AZIME MUZIKI ULIOKUWA UNAPIGWA  KATIKA SIMU YAKE YA MKONONI AKIWA DARASANI

Umair Hameed, 17 ALIKUWA ANASIKILIZA MUZIKI WAKATI MWALIMU HUYO MWENYE UMRI WA MIAKA 50 AKIWA DARASANI,NA ALIPOJARIBU KUMKATAZA MWANAFUNZI HUYO AKAGOMA.NDIPO MWALIMU HUYO ALIPOAMUA KUMFWATA KWA LENGO LA KUMNYANG'ANYA SIMU HIYO LAKINI MWANAFUNZI HUYO ALIMUWAHI KWA  MUELEKA WA HATARI NA KUMPELEKEA MWALIMU HUYO KUJIBAMIZA SAKAFUNI.

KWA SASA MWANAFUNZI HUYO YUPO MIKONONI MWA POLISI KWA AJILI YA KUJIBU MASHTAKA HAYO.

Comments