WIMBO MPYA....FADHILA TOKA KWA RIZY Q FT RAMA IZZE
KWA MARA NYINGINE TENA KICHWA HIKI KINAIBULIWA TOKA PANDE ZA MBINGA
NGOMA INAITWA FADHILA IKIWA NI KWAKE RIZY QIUMBE NA MTU MZIMA RAMA IZZE.
KUWA WAKWANZA KUISIKILIZA HAPA
NA KAMA UNAHITAJI KUWASILIANA NA MSANII HUYU UNAWEZA MPIGIA SIMU 0766109699