Msanii Hbaba kupitia kituo cha redio cha clous amefunguka kuwa kwa mwaka mzima wa 2012 amefanya show zipatazo 625 na pengine ndie msanii aliyefanya show nyingi zaidi kuliko wasanii wote
SWALI LANGU
INA MAANA KUWA ALIKUWA ANAFANYA SHOW KILA SIKU??? KWANI MWAKA MMOJA UNA SIKU 365/366 SO JAMAA HESABU YAKE SIKUILEWA VIZURI ...NITAMTAFUTA ATUPE MAJIBU