DAWA YA UKIMWI YAPATIKANA!!!

Pengine hayo ndio mawazo yaliopo akilini mwa watu wengi kutokana na tukio la kutibiwa mtoto aliyezaliwa na virus vya ukimwi na kupona kabisa Tukio hilo limetokea huko missisipi ambapo mtoto wa miaka miwili aliyezaliwa na virusi vya ukimwi kutibikwa kwa muda wa miezi kadhaa ambapo matibabu hayo yalifanyika chini ya Dr. Persaud and Dr. Katherine Luzuriaga kutoka chuo kikuu cha Massachusetts. kwa habari zaidi tembelea http://www.sciencedaily.com/releases/2013/03/130303172640.htm