MIMI NA MAN U NI DAMU DAMU-RYAN GIGGS



BAADA YA KUSAINI MKATABA MWINGINE WA MWAKA MMOJA NA TIMU YA MANCHESTER UNITED, MCHEZAJI HUYO HATARI AMEWAAMBIA KWA SASA HAJAFIKIRIA TIMU NYINGINE ITAKAYOMFAA ZAIDI YA MAN U.KWANI AMETOKEA KUIPENDA SANA TIMU HIYO NA NDIO SABABU ILIYOMFANYA AENDELEE KUICHEZEA TIMU HIYO KWA MWAKA MMOJA TENA HADI 2014.

Alianza kuichezea United mechi yake ya kwanza Marchi 02, mwaka 1991 na hadi kufikia sasa, ameshuka dimbani mara 931 huku akiwa amefunga jumla ya mabao 168 katika miaka yake na United.

0 comments: