MAPENZI GANI NEW TRACK KUTOKA KWA DOGO PAS P

Haya tena katika kuhakikisha siku yako inakwenda poa,naomba nikutambulishie ujio mpya msanii mwenye umri mdogo sana anayefahamika kwa jina la kisanii Dog pas p,ambaye anaweza kuwapa matumbo joto wasanii wengine wenye age kama ya kwake ambao walishatangulia kwa gemu ambo ni kama vile dogo aslay toka mkubwa na wanawe,dogo janja na dogo shadoo.Pas p kwa sasa anasimamiwa kazi zake chini ya studio za ps records iliyopo huko ruvuma.Tayari ashaanza kuwapa ladha mashabiki kwa track za moto sana ikiwepo hii inayokwenda kwa jina la mapenzi gani ambayo uanaweza kuisikiliza na kuidownload hapa.......kwa mawasiliano zaidi ya kumpata msanii huyu wasiliana nae kwa namba hizi 0762 698 698