KIUKWELI SIKUTEGEMEA NGOMA KALI KAMA HIYO MY BRO OMMY UMEAMUA KUISHUSHA KIWANGO KWA KUFANYA VIDEO MBOVU KAMA HIYO???
YAANI NIMEPATA HASIRA MPAKA MDOGO WANGU WA DARASA LA SITA AMENIULIZA "KAKA HII VIDEO NI YA UKWELI (AKIWA ANAMAANISHA OFFICIAL VIDEO) AU ZILE ZA MITAANI ZINAUNGANISHA TU CLIPS KIJANJAJANJA......
KATIKA HIYO VIDEO MIMI NIMEONA MAKOSA MENGI SANA JAPO KUWA SIO MTAARAMU SANA WA VIDEO PRODUCTION,KAMA VILE KUNA SEHEMU OMMY UMEKATISHA KUIMBA GAFLA NA KUISHANGAA CAMERA,ALAFU KUNA SEHEMU EDITER ALISHINDWA KUTUMIA VIZURI COLOR KEYING NA AKAAMUA KUIFANYA KI LOCAL SAANA KIASI KWAMBA KUNA SEHEMU WATU WANAONEKANA WANAIMBA NA KUCHEZA HUKU BAADHI YA MAENEO YA MIILI YAO KAMA KICHWA NA MIKONO VIKIWA ZINAPOTELEA NJE KABISA YA SHOT....
USHAURI WANGU MIMI KAMA FANS WAKO NA MDAU WA MUZIKI NINGEOMBA UIFANYE UPYA HIYO VIDEO,COZ NAONA UMEINGIA GHARAMA(KAMA ZILIKUWEPO) ZA BURE KABISA KWENDA KUFANYA VIDEO MBOVU TENA NA OGOPA VIDEO(SIJUI NDIO ILEILE NINAYOIFAHAMU MIMI AU NI REMIX)
KWA JINSI AMBAVYO WATU WALIVYOKUWA WANAISUBIRI KWA HAMU KUTOKANA NA PROMO YAKE UKIENDA KUANGALIA NA KITU AMBACHO KIMETOKA.....NABAKI NA????????????????????????????