Kutokana na jinsi walivyoingia vizuri katika gemu la muziki kiasi kwamba walifanikiwa kuziteka nyoyo za mashabiki wengi na kuwafanya wategemee mengi zaidi katika upande wa burudani kutoka kwao,wasanii hawa wafuatao wameonekana kupoteza kabisa dira katika sanaa ya muziki....sijaweza kujua nani yupo wapi au anafanya nini saivi ila kwa kifupi ule ukali wao waliouonesha enzi wanaanza muziki umepotea kwa asilimia 90 kama sio 100...Kama ni mfuatiliaji mzuri wa muziki utakuwa unajua nini namanisha mara baada ya kuorodhesha majina yao hapo chini
MUUMIN MWINJUMA
BUSHOKE
SISTA P
D KNOB
DAZ BABA
MH TEMBA
SUMA G
KING CRAZY GK
INSPECTOR HAROUN
SIR NATURE KIBLA