HIVI KARIBUN MSANII PITBUL KATIKA MOJA YA KAZI ZAKE MPYA "WELCOME TO DADE COUNTRY"KUNA MASHAIRI AMBAYO YANASEMA HIVI “You talk Miami, if you talkin’ heat, Moral of the story, don’t sh– where you eat,” AMBAYO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE YANAMUHUSU LIL WAYNE KUTOKANA NA ILE SKENDO YAKE YA MIAMI HEAT.
SIKU KADHAA ZILIZOPITA MSANII LIL WAYNE ALIZUSHA KUWA HATAONEKANA KATIKA MICHEZO YA TIMU YA MIAMI HEAT KUTOKANA NA UONGOZI WA TIMU HIYO PAMOJA NA WACHEZAJI KUMPIGA MARUFUKU.
“If you’re wondering why you didn’t see me at the All Star Game. It’s because I was banned from attending all NBA events. The Miami Heat got me banned. F— NBA! F— NBA! F— Lebron! F— SheWade! F— Chris Bosh! And I f—ed Chris Bosh wife!”ALISEMA LIL WEEZY
LAKINI BAADAE UONGOZI WA TIMU HIYO ULIKANUSHA HABARI HIYO NA HIVYO WEEZY KUONEKANA NI MUONGO