KUPITIA INTERVIEW ALIYOIFANYA NA JARIDA LA ELLE UK,RIHANNA AMEENDELEA KUONESHA DHAMIRA YAKE YA KUPATA MTOTO AKIWA NA CHRIS BROWN,RIHANNA AMBAYE PIA ALIPAMBA KURASA YA MBELE YA JARIDA HILO ALIPOULIZWA NINI MALENGO YAKE KWA SASA AKAJIBU HIVI
“I will have a child, NA ALIPOULIZWA KWANINI AMERUDIANA NA CHRISS ALIJIBU HIVI.
“We got a fresh start and I’m thankful for that … And right now that’s what we want, a great friendship that’s unbreakable. Now that we’re adults we can do this right.”