WEMA SEPETU KUSHIRIKI BIG BROTHER


KUNA UWEZEKEANO MWANADADA ALIYEWAHI KUWA MISS TZ MWAKA 2006 WEMA SEPETU KUSHIRIKI MASHINDANO YA BBA MWAKA 2013 KUTOKANA NA MLIMBWENDE HUYO KUCHUKUA FORM MAPEMA LEO KATIKA OFISI ZA MULTCHOICE...

WEWE KAMA MDAU WA WEMA SEPETU UNA NINI CHA KUMUAMBIA AU KUMSHAURI

Comments