HUYU NDIE MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA KAMBA

H

UKIYASTAAJABU YA HUYU UTAKUTANA NA YA HUYU,MWANAMKE MMOJA NCHINI HIVI KARIBUNI ALITOA USHUHUDA WAKE WA KUJIFUNGUA KAMBA AINA YA MANILA KATIKA HUDUMA YA NENO LA UPATANISHO,JIJINI DAR ES SALAAM. MWANAMKE HUYO ALISEMA KWA MUDA WA MIAKA 31 ALIKUWA HAWEZI KUFANYA KAZI YOYOTE KUTOKANAN NA MAUMIVU MAKALI YALIYOTOKANA NA UVIMBE HUO AMBAO YEYE ALIKUWA ANA JUA NI UJAUZITO.LAKINI SIKU MOJA ALIJISIKIA KAMA ANATAKA KUTOA KITU FULANI NDIPO ALIPOENDA CHOONI NA KUSHANGAA AKIJIFUNGUA KAMBA HIYO NDEFU. “Mume wangu alikuwa nyuma ya nyumba, nilimuita ili aje kunisaidia. Alipofika alichukua kitambaa na kushika manila kisha kuanza kuivuta, ilitoka ndefu sana tena ikiwa imefungwa vifundo viwili. Ni ajabu sana,” alisema mwanamke huyo.

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!