BAADA YA KUNUSURIKA KUUWAWA KWA RICK ROSS,HIZI NDIO POST ZA FANS WAKE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII


Mwanzoni mwa wiki msanii wa miondoko ya hip hop nchini marekani Rick Ross alinusurika kufa baada ya gari alilokuwa akiendesha kuacha njia na kugonga ukutani.Hiyo ilitokana na gari moja kutokea gafla na kuanza kulishambulia kwa risasi gari alilokuwa msanii huyo.Watu walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa watu hao walikuwa na lengo la kumuua Rick ross kwani risasi zote zilielekezwa upande wake.

 Ndani ya gari hilo Rick ross alikuwa na abiria mmoja mwanamke na yeye ndie aliyekuwa anaendesha gari hilo la thamani. Kutokana na tukio hilo polisi walifika katika eneo hilo na kulikuta gari la ross likiwa limepaki nje ya barabara lakini hakuna mtu yoyte aliyejeruhiwa kutokana na tukio hilo. zifuatazo ni post na tweets mbali mbali za mashabaki wa Rick ross katika mitandao ya kijamii kuhusiana na tukio hilo

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!