BAADA YA KUINGIA URAIANI LULU AWASHUKURU WATANZANIA WOTE

BAADA YA KUINGIA URAIA KWA DHAMANA MSANII ELEZABETH MICHAEL ANAYEKABILIWA NA KESI YA KUUA BILA KUKUSUDIA AMEWASHUKURU WATANZANIA WOTE WALIOKUWA WANAMUOMBEA SALA NA AMEWATAKA KUENDELEA KUMUOMBEA PIAK KATIKA KIPINDI CHOTE CHA KESI YAKE INAYOMKABILI LULU ALIKAMATWA NA POLISI KUTOKANA NA KIFO CHA MSANII MWENZAKE STEVEN KANUMBA MAPEMA MWAKA JANA NA SASA AMEACHILIWA KWA DHAMANA AKIWA AMEPEWA MASHARTI KADHAA IKIWEMO KUHUDHULIA MAHAKAMANI KILA MWEZI. “Nawashukuru watu wote na nilikua naomba watu waendelee kuniombea sababu hii ni dhamana tu lakini kesi bado ina safari ndefu… nawashukuru wale wote waliokua na mimi kwa hali yeyote ile na zaidi zaidi namshukuru sana Mwenyezi

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!