CHRISS BROWN NA OCEAN WAZICHAPA

Chris Brown and Frank Ocean got into a brawl on Sunday night at a Los Angeles recording studio. The fight, which was reportedly over a parking spot at the Westlake Studio, had not resulted in any arrests at press time. Chanzo kinadai kuwa muanzilishi wa ugomvi huo ni Ocean ambaye alikuwa na kundi lake lenye watu kadhaa ambao walizuia njia katika get la kutokea ndani ya studio hiyo wakati Chriss anataka kuondoka.Hata hivyo chriss alipojaribu kuutoa mkono wa ocean uliozuia geti hilo ndipo kundi la Ocean lilipoanza kuleta fujo zilizopelekea ngumi za muda mfupi kabla hawajaachanishwa. Frank ocean alisikika "akitamba kuwa Hii ni studio yangu na eneo lote hili linazunguka studio lipo chini yangu" Baadae kidogo ocean laiandika katika ukurasa wake wa twitter "got jumped by chris and a couple guys. lol. i only wish everest was there." naye breezy akajibu hivi "Working on my album. Not working on negativity. Focus on feeding ya family. Bulls--- will forever be in the shadows."

0 comments:

Post a Comment

sema nasi hapa!!