Kila mtu Duniani anapenda kufanya kitu tofauti na wenzake ili apate heshima au fahari mbele ya mamcho ya wenzake,hivyo usione ajabu mtu akabuni vazi flani au akanunua kitu fulani cha tofauti au kigeni mbele ya macho ya binadamu wengine na mwisho wa siku yeye ndie anaitwa muasisi au mbunifu wa kitu hicho.
Leo hii nimeamua kushare nanyi hizi staili ambazo hawa jamaa wameamua kujenga nyumba zao ili tu ziwe tofauti na za watu wengine......
nisikucjoshe sana hebu zitazame picha hizo na kama unachochote unapenda kuchangia basi ni ruksa,comment chochote chini ya post hii.
1. The Crooked House (Sopot, Poland)
|
JENGO HILI LIANZA KUJENGWA JAN 2003 MPAKA DES 2003 NA RAMANI YA JENGO HILI ILICHORWA NA Jan Marcin Szancer |
2. The Basket Building (Ohio, United States)
|
JENGO HILI LIMEJENGWA UTADAHNI KAPU FULANI LA SOKONI,LAKINI cost ZAKE NI $30 millio |
3. Kansas City Public Library (Missouri, United States)
|
Libraries are not usually the most eye-catching of buildings are they?
So what would really make a library stand out I wonder? How about a
library made out of giant books! The local community of Kansas had a
part to play in the design as well. |
4. Turning Torso (Malmö, Sweden)
5. Sagrada FamÃlia (Barcelona, Spain)
|
Designed by the legendary Catalan architect Antoni Gaudi, the Roman
Catholic church is still incomplete despite work beginning in 1882 |
6. Atlantis (Dubai, UAE)
|
JENGO HILI LINA VYUMBA VIPATAVYO 1539
|
7. 30 St. Mary Axe – “The Gherkin” (London, UK)
8. Waldspirale (Darmstadt, Germany)
9. Dancing House (Prague, Czech Republic)
10. Wonderworks (Pigeon Forge, TN, United States)
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!