Carlos Vela atoka Asernal



Baada ya kudumu katika klabu ya Arsenal kwa muda wa miaka saba, mshambuliaji Carlos Vela amejiunga na klabu ya Real Sociedad kwa mkataba wa miaka minne.

Comments