|
PICHA ILIYOZUA UTATA |
LICHA YA FUNUNU ZINAZOENDELEA KATIKA MITANDAO MBALIMBALI KUWA MSANII LIL WAYNE AMEAMUA KUNYOA NYWELE ZAKE KUTOKANA NA PICHA ILIYOPIGWA ALHAMISI ILIYOPITA AKIWA NA BIG BOI KUMUONESHA KAMA VILE AMENYOA NYWELE ZAKE,MWANDISHI WA HABARI KUTOKA MTV ALIFANIKIWA KUMUONA LIL WAYNE KATIKA PARTY MOJA HUKO New Orleans AKIWA NA DREAD ZAKE NA AKAFANIKIWA KUMPIGA PICHA.
|
HUU NI USHAHIDI KUWA HAJANYOA NYWELE ZAKE |
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!