Taarifa toka katika vyombo vya habari zinasema kwamba huenda mcheza mieleka maalufu duniani John cena akamtariki mke wake wa tangu chuoni
Liz Huberdeau.
Tetesi hizo ambazo bado sijadhibitisha zimeenea katika mitandao mbalimbali na usikose kutembela hapa ili kukujuza zaidi mara tu nitapohakiki