JIANDAE KUIPATA VIDEO MPYA YA JUSTIN TIMBARLAKE FEAT JAY Z- “Suit & Tie”
Baada yakuiachia video ya mashiri ya wimbo huu sasa wakali hao wawili wapo katika hatua nyingine za ku rekodi video kamili ya wimbo huo unaoendelea kushika kasi duniani kwa kupigwa sana katika media mbalimbali
0 comments:

