VUNJA MBAVU NA HUYU MWIZI....


Hii ni kauli iliyotolewa na mwizi baada ya kuiba wallet ya polisi na kukuta yafuatayo:-
1.Majina ya vibaka
2.majina ya mafail aliyonayo. 3.majina ya watoto waliobakwa 4.majina ya watu/mama rishe wanaomdai,
5.kadi ya sherehe
6.Ratiba ya lindo
7.saraly slip yenye mikopo 4
8.Risiti ya atm inayoonesha salio 0.000/= ,
9.Kadi ya bima ya afya.

Mwizi akaapa na kusema"sitapoteza muda wangu kumuibia Polisi".

0 comments: