LADY GAGA AKATISHA ZIARA KWA SASABU YA UGONJWA


HABARI ZILIZOTOKA HIVI KARIBUNI ZINARIPOTI KUWA MWANAMUZIKI LADY GAGA HATOWEZA KUENDELEA NSHOW ZILIZOPANGWA KUFANYIKA TARE 20 MARCH NA KUENDELEA KUTOKANA NA KUPATA TATIZO KATIKA MWILI WAKE HIVYO ANATAKIWA KUFANYIWA UPASUAJI..

MARA YA MWISHO GAGA ALIANDIKA KUWA ALIPATA MAUMIVU KATIKA MGUU WAKE WA KULIA KATIKA MOJA YA SHOWS ZAKE ZILIZOPITA ILA HAKUTAKA KUKATISHA SHOW KWA HOFU YA KUWAUMIZA FANS WAKE..ILA BAADA YAKUMALIZA SHOW SIKU YA PILI YAKE HAKUWEZA KUTEMBEA WALA KUSIMAMA
 "I hid it from my staff, I didn't want to disappoint my amazing fans. However after last nights performance I could not walk and still can't".ANASEMA

ZIARA HIYO YA ALBUM YAKE YA PILI BORN  THIS WAY ILIANZA MWEZI WA NNE MWAKA JANA..