ULIKISOMA KILICHOANDIKWA NA NIKKI MBISHI JUU YA WANAWAKE WA BONGO?? SOMA HAPA


MSANII HUYU AMBAYE HAISHIWI VITUKO KILA MARA KUPITIA WALL YAKE YA FACEBOOK,AMEANDIKA HIVI

"Wanawake/wasichana wa kisasa kama hawapendi taarab basi ngoma zao ni design ya Azonto,Alingo,Kwaito na kama Hip Hop msanii wao ni mmoja tu Dunia nzima Nicki Minaj,sijawahi kuona mtoto wa kike wa kitanzania ananionesha SPIRIT ya kupenda Real Hip Hop,yaani unaweza ukamtajia Mos Def akakuuliza ndo kitu gani wakati ni jina kubwa sana Dunia ya Hip Hop,ila muulize unapenda Hip Hip atakujibu ndio,muulize unapenda wasanii gani utachoka na roho yako....hutosikia Common,Talib Kweli,Krs One,Masta Ace,Sky Zoo wala Sean Price nini Tupac Na Biggie...hapo ni mwendo wa Tyga, Drake,Lil Wayne,Rick Ross,Wale,Meek Mill na 2 Chainz eti ndo Real Hip Hop kwa madai yao#AIBU ndo maana ni kazi sana kwa hawa madada kumjua hata mdada mwenzao kama Jean Grae,Rapsody,Epic Dynasty,Lauryn Ms. Hill n,k."
 HII ITAKUWA NI MARA YA PILI KWA WASANII WA TANZANIA  KUWADISS WANAWAKE WA BONGO KWA KUWAPIGA VIJEMBE KATIKA MITANDAO YA KIJAMII...KAMA UNA KUMBUKA PROFESA JAY NAYE ALIFUNGUKA NAO HAPA

0 comments: