Penelope Cruz and her husband Javier Bardem have confirmed that they’re expecting their second child!
Kupitia kituo kimoja cha tv cha kispanish...Wawili hao wamethibitisha kuwa wanategemea kupata mtoto wa pili muda mchache ujao..Wawili hao walioana mwaka 2010 huko Bahamas na tayari wana mtoto mmoja,Leo