HIVI NDIVYO NICKI MINAJ ALIVYOIPIGIA DEBE TRACK YAKE MPYA

KUPITIA MTANDAO WA TWITTER NICK MINAJ AMEWATAKA FANS WAKE KUINUNUA NGOMA YAKE MPYA INAYOITWA FRENCH MORTANA KATIKA ITUNES.....ILI KUWABAMBA ZAIDI ALIPOST NA PICHA KADHAA AMBAZO INASEMEKANA ZPO KATIKA MAANDALIZI YA VIDEO YA WIMBO HUO