Wote tunajua kwamba mwanamuziki na muigizaji huyo Lindsay hayupo vizuri kifedha sasa hivi...Lakini je anawezaje kuishi vizuri na maisha ya viwanja vya starehe kila weekend akijiachia?? ...
Mtandao mmoja wa habari za mastaa wa mbele umeripoti kuwa mdada anawezeshwa na mapedeshee watatu wakubwa kwa nyakati tofautitofauti.
PRINCE |
Vikram |
Mtu wa pili aliyetajwa ni Vikram Chatwal ambaye mara kadhaa pia wamekutwa sehemu tofauti tofauti wakila bata.Vikram Chatwal ni mmiliki wa hotel moja kubwa huko london.
Na mtu wa tatu ni Mwanamuziki wa kimarekani Domingo Zapata ambaye wamewahi kukutwa katika moja ya hotel za kifahari iitwayo New York Bowery Hotel na wakakaa humo wakila goodtime kwa siku kadhaa...huh!!!!!