Karian Sang mwanamuziki anayemkubali sana Michael jackson
Ukiongelea muzik iwa dancehall kule jamaica na ukianza kutaja wasanii wanaofanya muziki huo basi lazima utakutana na hili jina Karian Sang.Mwana dada huyo ni mdogo kiumbo lakini mwenye sauti ya kipekee sana hasa linapokuja suala la kuimba.Akihojiwa na mtandao mmoja huko kwao jamaica,Karian Sang aliulizwa kwamba ni wasanii gani anowakubali sana.na yeye akaajibu hivi
"Toni Braxton, Mavado, Aaliyah, Janet Jackson, Michael Jackson, Jagged Edge, Ludacris, Tupac, and Mariah Carey I love them so much for many reasons. I think ma style is different 'cause I love variety and I'm influenced by all things, even outside of music, which allows me to be very creative 'til the sound process becomes automatic and natural."
Mpaka sasa mwananmuziki huyo ashafanya kazi kibao ikiwemo kushirikishwa na wasanii kama vile shaggy,mavado,bean man na wengine kibaohii hapa ni moja kati ya video alizoshirikishwa amabyo imempa sifa sana kwani amefanya vizuri sana.

0 comments: