KAMA ULIKUWA HUJUI..HII NDIO SABABU INAYOMFANYA PAPA BENEDICT 16 KUJIHUDHURU!!!



Kwa sasa habari ambayo imebeba gumzo duniani ni kuhusu kujihudhuru kwa kiongozi wa juu wa waumini wa cathoric,Papa Benedict 16.habari hiyo ambayo imetolewa hivi karibuni na msemaji wa vatcan kupitia mitandao inasema kwamba kisa au sababu ya papa kujihudhuru rasmi hapo February 28,ni kutokana na papa huyo kuomba yeye mwenyewe kujihudhuru kwani amekuwa akishindwa kufanya au kutekeleza majukumu yake ipasavyo kutokana na umri wake.Papa ambaye mpaka sasa ana miaka 85 atakuwa wa kwanza kujihudhuru tangu mfumo huo wa kuongozwa na papa uanze....

0 comments: