AMUUA MTOTO WAKE WA MIAKA 6 NA YEYE MWENYEWE ANUSURIKA


Mwanamke mmoja huko FLORIDA anaugulia maumivu katika hospitari akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya kumuua kwa kumpiga risasi mtoto wake wa wa miaka6 na yeye mwenyewe kutaka kujiua kwa risasi kabla hajaokolewa na majirani.

Mwanamke huyo anayeitwa Melanie Reyes inasemekana alishawahi kutangaza katika mtandao wa facebook mpango wake huo wa kujiua yeye na mtoto wake aitwae Jonah Mendoza.

Kwa sasa yupo chini ya uangalizi wa polisi na atapandihwa mahakamani muda utakapofika

Comments