Utafiti umeonesha kuwa wanawake wengi sana siku hizi huwa hawpendi kuvaa bikini hasa pale wanapokuwa katika maeneo ya beach,hiyo imekuja baada ya picha nyingi sana zinazopigwa katika maeneo ya beach hasa za watu maarufu ambao ndio wanaonekana kuwa ndio waanzilishi wa mbalimbali flan za mavazi,zikiwaonesha wakiwa katika vazi jingine ambalo ni tofauti kabisa na vazi la bikini.usipate tabu vazi hilo ambalo linashika kasi sasa hivi kwa wanawake wa kisasa katika maeneo ya beach ni hili hapa katia picha mbalimbali za wasanii na warembo
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!