Niachie pakti moja
Jamaa mmoja alipata safari ya kikazi nje ya mkoa ambayo angekaa wiki mbili, wakati akiondoka mkewe alimpatia pakti nne za kondomu na kumwambia mumewe: “Mume wangu nimekupa hizi zikulinde kama utapata dharura..” “Asante mke wangu kwa kunijali,” jamaa alipokea kwa furaha huku akiingia kwenye gari. Akiwa ndani ya gari kabla ya kuondoka mkewe alimfuata na kumwambia: “Samahani mume wangu na mimi niachie pakti moja nami naweza kupata dharura
Dogo hapendi shule
Mwanafunzi mmoja ‘Dogo’ asiyependa shule alimshuhudia mwizi aliyeingia nyumbani kwako na kuiba vitu mbalimbali. Dogo alikuwa akimchungulia mwizi yule na kuamini kuwa ataiba pia na begi lake pamoja na sare zake za shule ili kesho yake asiende shule. Lakini yule mwizi alivichunia vitu vile ndipo dogo akatoa kali ya mwaka, alimkamata mwizi mguu wakati alipokuwa akijiandaa kuondoka. Dogo akiwa amemshikilia mguu mwizi, akampiga mkwara mbuzi. “Usipochukua na unifomu zangu na begi langu la shule sikuachii napiga kelele watu waje kukukamata.”

Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!