Song: Kesho
Studio: Mj-Recordz
{Chorous}
=i> Mi nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende ukamuone
mama x2
{Verse 1}
=I> Kwanza kabisa ntanyonga Tai
T"shirt na Jeans ntatupa
kidogo..
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni
akapandisha Mbogo...
Naukifika uagize Chai
Savanna Takila uzipe kisogo...
Kuhusu mavazi kimini haifai
Tupia pendeza ila za Hekima
Logo...
=I> Even though wanaponda eti we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone
mama x2
{Verse 2}
Usilete swaga za Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze
Iyobo..
Eti shoping twende Tai
wakati Dadaangu anaduka
kigogo..
Ukikuta Nguna usikatae
we zuga unapenda hata kama wa
Muhogo..
Kuhusu kabila mbona Sadai
Mama angu hana noma hata kama
Mgogo
=I> Even though wanaponda eti we
ni kicheche
Waambie ndoo chaguo langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone
mama x2
Bridge
Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone
mama x2
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!