hivi ndio vifo vya mastaa vilivoshtua watu wengi mwaka 2012

Whitney Houston

 

The 48-year-old singer ambaye ameweka historia na heshima kubwa kwa kushinda tuzo kadhaa kutokana na kazi zake nzuri alizokuwa akiziimba.kifo chake kilitokea  Feb. 11, 2012,

Michael Clarke Duncan

 

The actor, best known for his role in The Green Mile, passed away nearly two months after suffering from a heart attack. He was 54.

Neil Armstrong

 

mmarekani wa kwanza kwenda kweye mwezi siku ya 21 July 1969,
Neil alifariki akiwa ana umri wa miaka  82 on 25 August

Sage Stallone

 

Sage Stallone, huyu ni kijana wa muigiza wa muvie Sylvester Stallone aka rambo.alifariki akiwa na umri wa miak 36 mwez may 2012
 STEVEN KANUMBA
KANUMBA,alifariki siku ya  April 7, 2012 na kifo chake kilisababishwa na ugomvi kati ya yeye na rafiki yake wa kike.

SHARO MILIONEA

November 26, 2012,muigizaji na mwanamuziki toka tanga.alifariki kutokana na ajali ya gari siku ya November 26, 2012

Kitty Wells

Malkia wa muziki wa country alifariki akiwa na umri wa miak 92

NB: VIPO VIFO VINGI LAKINI NILIVYO VIKUMBUKA KWA SASA NI HIVYO

MUNGU AZILAZE PEMA PEMONI ROHO ZA MAREHEMU WOTE.

 

Comments