Rihanna apiga tena picha za utupu Xmass







Haijafahamika mpaka sasa kama rihanna amepigwa picha hizo na mapaprazi bila kujijua au ni moja kati ya njia za kutafuta skendo tu katika vyombo vya habari.picha hizo zimepigwa akiwa nyumbani kwake huko babardos na mpigaji alionekana kupiga picha hizo akiwa nje ya jengo alimokuwa Rihanna.Lakini cha kushangaza ni kwamba kuna baadhi ya picha zinamuonesha rihanna akimtumbulia macho mpiga picha huyo,kati hali ya kwamba alikuwa anajua ni nini kinafanyika

Comments