Hii imetokea hicvi karibuni katika mji paris akiwa na rafiki yake,pale aliposhtukia akipigwa kikumbo na watu wawili na kumfanya adondoke chini kabla hajafanikiwa kukimbia na pochi yake ya mkononi ambayo ndio ilipigiwa mahesabu na vibaka hao
Tukio hilo lilimfanya atembelee baiskeli ya magurudumu manne kwani alipata maumivu ya katika miguu yake
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!