ZAMU YAKO KUPATA AJIRA-SOMA HAPA LEO

J ni mhitimu wa chuo,shule au mafunzo flani.??? au wewe ni bosi,mjasilia mali na unahitaji vijana wa kufanya nao kazi??? Basi blog hii inatoa nafasi ya bure kabisa kutangaza NAFASI ZA KAZI/VIBARUA AU kutangaza MAOMBI YA KAZI/KIBARUA

Unachotakiwa kufanya ni kuandika ujumbe mfupi wa maneno ukielezea UJUZI/TAALUMA/FANI YAKO na MAWASILIANO YAKO kama  wewe UNATAFUTA KAZI

AU tuandikie SIFA ZA MFANYAKAZI UNAYETAKA,KAZI ATAKAYOFANYA NA MAWASILIANO YAKO kama wewe ni MUAJIRI/BOSI

KISHA TUMA KWENDA NAMBA 0719 698 698 AU EMAIL nasmiletz@gmail.com

KARIBUNI...HII NDIO FURSA KWAKO MUAJIRI NA UNAYETAFUTA AJIRA....KUMBUKA HUDUMA HII NI BUREEEEEEEEEEE KABISA KUPITIA BLOG HII TUTAKUWA TUNACHAPISHA KILA SIKU MAOMBI NA AJIRA MPYA ZITAKAZOTUFIKIA.