Kool & The Gang Band Wamehaidi kuleta mapinduzi ya shoo kubwa nchini uganda wikiendi hii ya 12th November katika viwanja vya Kololo Airstrip
Grounds ambapo watafanya shoo ya kihistoria nchini uganda chini ya udhamini wa kinywaji murua cha tusker malt lager.
Kundi hilo ambalo limeuza zaidi ya kopi milioni 70 za albamu zao Duniani,lilianza kuwika miaka ya 70 hivi wakiwa na nyimbo kama vile Cherish, Get Down On It., Celebration, Fresh, Jungle Boogie, Joanna, Too Hot, Hollywood Swinging, Lets Go Dancing, Summer Madness
Je utaanzaje kukosaaaaaaaaaaa??????