NUH MZIWANDA NA MKEWE DAMU DAMU

Nuh na mke wake Nawal...Hivi karibuni waluamua kuutangazia umma kuwa wao sio watu wa mchezo mchezo...Pale walipoamua kuacha maisha ya u-single boy na u-single girl kwa kufunga pingu za maisha