Katika kuendelea kuwekeza na kutimizaa ndoto zake za kimaisha mwanamuziki Dr. Hilderman ameamua kuwekeza katika biashara ya bar,Kwani hivi karibuni amefungua bar yake katika eneo la Kyaliwajala. kilomita kadhaa toka kira road.
Msanii huyo anayetesa na wimbo wake Mazongoto amewakaribishaa mashbiki wake ktk baa yake ili kujipatia huduma ya vinywaji,chakula na muziki safi