TUNDA MANA AMTOLEA UVIVU MADEE..SIKILIZA ALICHOSEMA

Msanii wa bongo fleva Tunda Man amemshauri rafiki yake Madee kufunga ndoa kwa kuwa amemzidi umri na ana mwanamke ambaye anampenda hivyo haoni sababu ya Madee kuacha kufunga ndoa na yupo tayari kuchangia mahari ya Madee.