SIKILIZA ALICHOSEMA "Kwangu naichukulia kama changamoto kubwa sana, kwa sababu kwenye industry ya movie hakuna tuzo za namna kama hiyo, wenzetu wana tuzo nyingi ndiyo maana inaonekana kama kwao kunaenda mbele kwetu kuna drop, kwa hiyo tuzo ya East Afrika ambayo wameileta, kwangu mimi naichukulia kama kitu fulani ambacho ni faraja na kitatengeneza competition, inaweza ikaanza taratibu lakini kesho na kesho kutwa inaweza ikashika hatamu",