Akiongea na kituo kimoja cha Tv,msanii Hakeem five amefunguka kuwa msanii nguli wa bongo flava Alikiba ana roho mbaya,na kamwe hawezi kumuomba msamaha kwa kauli hiyo.Hakeem aliyewahi mtu wa karibu sana wa alikiba amesema Hata kufanya collabo na Alikiba imekuwa ni ishu,kwa kile alichosema Kiba ana Dharau na roho mbaya
Kisa cha hayo yote ni nini??? blog hii itamtafuta Hakeem atuelezee kwa kina
Kisa cha hayo yote ni nini??? blog hii itamtafuta Hakeem atuelezee kwa kina