Skip to main content

VUNJA MBAVU KWA KUSOMA MATANI HAYA....UKIMTANIA MWENZAKO HIVI LAZIMA AKAE KIMYA!!!



 una bichwa kubwa mpaka shuleni ulikuwa unaitwa Headboy



wewe ni mweusi mpaka ukirushiwa jiwe linarudi kuitisha tochi.



kwenu ni maskini mpaka nyie hukimbiza lile gari la takataka mkiwa na shopping list!!!!!!



Unatisha hadi malaika mtoa roho anaogopa kukuchukua



nyie ni maskini mpaka dadako badala ya kutumia 'always' ye hutumia 'sometimes'.



nyie kwenu ni wajinga mpaka mkinunua viatu vinakuwa vimeandikwa; "This way in."



we ni mshamba mpaka mara ya kwanza kununuliwa malapa ulivaa kama begi!



familia yenu wengi mpaka picha yenu ya familia inasema to be continued...



mfupi mpaka ukikaa juu ya ganda la kibiriti miguu haifiki chini......



wewe ni mbahili mpaka unapumua na pua moja!!!


kwenu ni mbali mpaka ukitumiwa sms inafika ikiwa na vumbi!

Mdomo mkubwa hadi unaweza kufanya kolabo mwenyewe