Skip to main content

MATANI MENGINE BWANA...HEBU SOMA HAPA (VUNJA MBAVU)

una machunusi mpaka ukipigwa picha inatokea kama msasa

Nyie kwenu ni wabahili mpaka mnapika chapati upande mmoja!

dadaako mbaya mpaka mahari imerudi chenji

.wewe ni mchoyo mpaka ukimeza mate unajificha!!

we mbahili mpaka hata ukipigiwa simu unaangalia salio

wewe umekomaa mpaka ukipiga chafya jogoo anawika.

Nyie kwenu ni matajiri mpaka kwenu mna teabags za uji!

!We ni mchoyo mpaka ukipigiwa simu wakati unakula unaenda kujificha kwanza ndo upokee!

umekomaa mikono paka ukishika mouse computer inasema "found new hadware

wewe ni mweusi mpaka ile siku ulizaliwa madokta walishtuka, "Yesu na Maria, kameungua..

simu yako n nzee mpaka yule snake wa games amekufa!!!