KWANINI WANAWAKE MNAVAA VINGUO VYA AJABU--ONA AIBU ILIYOMPATA MWENZENU

HII imetokea kama miezi mitatu hivi iliyopita huko nigeria..ila nimeshawishika kuiweka hapa hapa ili iwe fundisho kwa dada zetu wa kibongo ambao nao wamekuwa watu wakuvaa vinguo vya ajabu sana..bila kuangalia aibu wanayoweza kuipata yakitokea ya kutokea kama haya