@UJIO MPYA WA JAY DEE

Hii ni hatua nyingine kubwa kwa mwanamuziki wa muda mrefu Lady Jay Dee aka binti machozi,kuandaa kipindi maalum cha Tv kitakachokuwa kinarushwa katika Television kikionegelea maisha yake kiujumla na kadhalika.hayo ameyathibitisha yeye mwenyewe alipokuwa anaongea na waandishi wa habari.Kipindi hicho kitaitwa The Diary of jay dee

Comments