HAYA NI MAELEZO ALIOTOA H BABA KUTOKANA NA ISHU ALIYOFANYIWA NA DIAMOND
"hata yeye anajua alichokifanya ndiyo maana kila nikimtafuta kwenye simu hataki kupokea simu yangu lakini poa mimi ni msanii mkubwa amenikuta kwenye game siwezi kupoteza muda kwa kushinda naye ila ninachokisema ni kuwa hajafanya fresh atafute nja za kumfanya aendelee kuwa juu kuliko kiba kazi za watu n akama ameishiwa aseme" H Baba
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!