Huu mwezi naweza kusema ni mwezi wa ngoma mpya tu!!! hahahha coz kila siku napokea ngoma tamu na zilizoshiba toka kwa wasanii tofauti tofauti kupitia email yangu.leo nakuletea mpya nyingine toka kwa
G luck ikiwa ni mkono wa
C9.na track inakwenda kwa jina la
'Hayaonekani'
G-LUCK- HAYAONEKANI.mp3
Comments
Post a Comment
sema nasi hapa!!