KICHWA KINGINE CHA RNB TOKA KENYA-YUNG BOBBO


Young Bobb Alizaliwa April 1989 kule Kilifi, Kenya. Ni mtoto wa kwanza kati ya wawili katika familia yao.Alianza kuimba rasmi mwaka 2004 na mpaka sasa ana track kama vile ‘Not Guilty’, ‘Still Strong’, ‘Mr. Big Belly’, ‘She’s Gone’, ‘Bolingo na mothema’, ‘Ame-fall na G’ ,‘Nihurumie’.,na kwa sasa ameachia kibao chake kipya kinachoitwa Barua.tumeshindwa kuweka wimbo wake hapa kwa sababu fulani fulani ila mabo yakiwa tayari mtaweza kuisikiliza hapa hapa

Comments